Mawaidha
IQNA – Kufunga Saumu ya Mwezi wa Ramadhani sio tu kunapelekea mwandamu kumcha Mwenyezi Mungu na kujizuia, lakini pia kama ibada ya kiroho, kuna athari nzuri za kiakili na kihisia.
Habari ID: 3480306 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/04
Mtazamo
IQNA – Neno "Ramadhani" katika Kiarabu linamaanisha joto kali la jua. Imenukuliwa kutoka kwa Mtume Mtukufu (SAW) kwamba mwezi huu unaitwa Ramadhani kwa sababu unachoma dhambi na kutakasa mioyo kutoka kwenye uchafu.
Habari ID: 3480290 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/02
Fikra
IQNA – Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni fursa ya kipekee kwa ukuaji wa kiroho, kusafishwa kwa maadili, na kushiriki kwa kina na Qur’ani, anasema Masoud Rastandeh, mwalimu wa Qur’ani na mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Bu-Ali Sina nchini Iran.
Habari ID: 3480285 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/01
IQNA – Jumla ya misikiti 2,385 nchini Qatar imeandaliwa kupokea waumini kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kuanzia Jumamosi ijayo, ambapo matukio na shughuli mbalimbali maalum zitaandaliwa chini ya kaulimbiu "Utiifu na Msamaha".
Habari ID: 3480271 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/26
IQNA – Televisheni ya satelaiti ya Al-Thaqalayn itafanya toleo la pili la mashindano ya usomaji wa Tarteel wa Qur’ani Tukufu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480258 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/23
IQNA - Ofisi ya kiongozi mkuu au Marjaa Taqlid wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Ali al-Sistani, imetoa taarifa kuhusu kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3480244 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/20
IQNA – Wizara ya Wakfu ya Misri inapanga kufanya programu mbalimbali za Qur'ani na kidini wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480229 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/16
IQNA – Kampeni ya kusafisha misikiti kujiandaa kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani imeanzishwa Yemen.
Habari ID: 3480204 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/12
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 17 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478594 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/28
Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478578 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/30
Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478575 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/27
Qur'ani Tukufu
IQNA - Toleo la 4 la Mashindano ya Familia ya Qur'ani lilianza nchini Kuwait siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3478567 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/24
Umrah
IQNA - Wakaazi wa mji mtakatifu wa Makka nchini Saudia wamehimizwa kutoa kipaumbele kwa Mahujaji wa kigeni katika Masjid al-Haram au Msikiti Mkuu.
Habari ID: 3478555 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/22
Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Toleo la 31 la Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yalizinduliwa rasmi katika hafla ya Jumatano jioni, Machi 20.
Habari ID: 3478552 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/21
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 10 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478551 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/21
Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478548 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/25
Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478547 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/24
Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478546 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/23
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Televisheni ya satelaiti ya Al-Thaqalayn imeanza kurusha mashindano yake ya kwanza la kimataifa la usomaji wa Tarteel wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478531 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 4 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478518 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/15